SATA SSD 256GB
TZS 140,000
Maelezo ya Bidhaa
SATA SSD 256GB – 140,000 TZS
⚡ Upgrade laptop/PC yako — iwe fast
🚀 Boot haraka & programs zinafunguka mara moja
💾 256GB — storage ya kutosha kwa kazi zako
Tunasafirisha Tanzania Nzima
Lipa tu baada ya oda yako kufika salama.
📍 Inapatikana katika Maduka yetu ya Arusha na Dodoma